Proverbs 21:25-26


25 aKutamani sana kwa mvivu kutakuwa kifo chake,
kwa sababu mikono yake haitaki kufanya kazi.

26 bMchana kutwa hutamani zaidi,
lakini mnyofu hutoa pasipo kuzuia.
Copyright information for SwhNEN